Soko letu limegawanyika katika pande mbili ambazo pia zimegawanywa katika jengo A na Jengo B, mgawanyiko wa pande hizo ni upande wa chini na upande wa juu, pande zote zilejengwa katika mpangilio mzuri unaowasilishwa na fremu, vizimba na kumbi mbalimbali. Kupitia ukurasa huu unaweza kuona Kumbi zote zilizosajiliwa kwenye mfumo wetu zinazopatikana ndani ya soko zikionesha aina mbalimbali za picha za kumbi hizo.
Kamati mbalimbali za mikutano na sherehe zimekuwa zikinufaika na uwepo wa kumbi nzuri na za kisasa ndani ya soko la chief kingalu
Kumbi kubwa tatu (3), ambazo ni pamoja na Ukumbi wa Kingo, kilakala na Misongeni
Kumbi hizi zimekizi viwango stahiki vya kupata leseni kwaajil ya kutumika kama kumbi za sherehe mbalimbali.
Nukuu , Meneja wa soko chief kingalu
Tangaza Nasi Kupitia Tovuti, Instagram, Facebook na Twitter ndani na nje ya Morogoro
Wanakingalu kwa pamoja tunaweza