Namba: +255 (0) 679 925 725 Barua pepe: info@sokokuuchifukingalu.co.tz

Taasisi

Soko letu limegawanyika katika pande mbili ambazo pia zimegawanywa katika jengo A na Jengo B, mgawanyiko wa pande hizo ni upande wa chini na upande wa juu, pande zote zilejengwa katika mpangilio mzuri unaowasilishwa na fremu, vizimba na kumbi mbalimbali. Kupitia ukurasa huu unaweza kuona taasisi zote zilizosajiliwa kwenye mfumo wetu zinazopatikana ndani ya soko zikionesha aina mbalimbali za huduma zitolewazo na wamiliki wa taasisi hizo.

Taasisi ya Fedha

CBCRDB BANK.

Katika soko letu kuna taasisi ya kifedha inayotambulika kama Tawi la CRDB BANK kingalu, tawi hilo linajishughulisha na mambo yote ya kifedha yahusianayo na taasisi yao kwa jamii.

Miongoni mwa huduma zitolewazo:
Miamala ya kifedha
Ubadilishaji wa fedha
Huduma kwa wateja
Usajili na ufunguaji akaunti kwa wateja

Taasisi ya Afya

BPBARAKA POLYCLINIC.

katika soko letu kuna taasisi ya Afya inayotambulika kisheria kwa taratibu za utoaji huduma wa afya kwa jamii, ijulikanayo kwa jina la Baraka Polyclinic,Fika hupate na ujione huduma bora na nzuri kutoka kwa wauguzi wenye ujuzi na waliobobea katika maswala ya Afya ya mwanadamu.

Miongoni mwa huduma zitolewazo:
Matibabu ya kiafya
Huduma ya dharura
Ushauri nasaha
Uchunguzi

Supermarket

MS MGOBE SUPERMARKET

Kamati mbalimbali za mikutano na sherehe zimekuwa zikinufaika na uwepo wa kumbi nzuri na za kisasa ndani ya soko la chief kingalu

Kumbi kubwa tatu (3), ambazo ni pamoja na Ukumbi wa Kingo, kilakala na Misongeni

Kumbi hizi zimekizi viwango stahiki vya kupata leseni kwaajil ya kutumika kama kumbi za sherehe mbalimbali.

Duka la dawa

MPMEDLIFE PHARMACY.

Duka la dawa Medlife, wanatoa huduma ya uuzaji na usambazaji wa dawa za binadamu ndani na nje ya mkoa wa morogoro, wanapatikana ndani ya soko kuu la kingalu

Miongoni mwa huduma zitolewazo:
Mwongozo wa matumizi ya dawa
Uuzaji wa dawa kwa jumla
Uuzaji wa dawa wa reja reja
Uhifadhi wa dawa

Duka la vifaa vya kuandikia & maofisini

MEMBETE.

katika soko letu kuna taasisi ya Afya inayotambulika kisheria kwa taratibu za utoaji huduma wa afya kwa jamii, ijulikanayo kwa jina la Baraka Polyclinic,Fika hupate na ujione huduma bora na nzuri kutoka kwa wauguzi wenye ujuzi na waliobobea katika maswala ya Afya ya mwanadamu.

Miongoni mwa huduma zitolewazo:
Matibabu ya kiafya
Huduma ya dharura
Ushauri nasaha
Uchunguzi

Maduka ya kisasa

Haya ni maduka makubwa yenye bidhaa nyingi na za kisasa, maduka haya yanauza bidhaa kwa gharama nafuu sana ukilinganisha na maduka mengine (wanavunja bei),wanapatikana ndani ya soko la chief kingalu.

Little Moro,Morogoro

GG Supermarket

MM Store

Tangaza Nasi Kupitia Tovuti, Instagram, Facebook na Twitter ndani na nje ya Morogoro

Wanakingalu kwa pamoja tunaweza